-
Fungua order.taximaxim.bg kwenye Safari.
-
Gusa "Share ."
Iwapo huwezi kuiona, gusa "…" kwanza.
-
Gusa Add to Home Screen. Kwa matoleo mapya zaidi ya iOS, hakikisha kuwa Open as Web App imewashwa.
-
Gusa "Add"
Aikoni ya Maxim sasa ipo kwenye Skrini yako ya Mwanzo. Iguse ili uweke nafasi ya usafiri. Ni muda wa kwenda!