Programu ya kuweka oda ya usafirishaji

Safari za mjini na kati ya miji, kwenda uwanja wa ndege au kituo cha treni. Ofa, punguzo, na misimbo ya ofa.

Programu zetu hufanya uagizaji wa usafirishaji uwe rahisi na mwepesi zaidi:

  • – bei ya usafiri inafahamika mapema, ili kukusaidia kupanga matumizi yako;
  • – oda zilizoratibiwa huhakikisha kuwa chombo chako cha usafiri kinafika kwa wakati;
  • – ramani ya mtandaoni iliyojumishwa ndani ya programu inakuonyesha mahali alipo dereva wako kwa sasa;
  • – vigezo vya usafiri vinakuruhusu uweke oda yako kwa kugusa mara kadhaa.
  1. Fungua order.taximaxim.bg kwenye Safari
  2. Gusa "Share ."
    Iwapo huwezi kuiona, gusa "…" kwanza.
  3. Gusa Add to Home Screen. Kwa matoleo mapya zaidi ya iOS, hakikisha kuwa Open as Web App imewashwa.
  4. Gusa "Add"
Aikoni ya Maxim sasa ipo kwenye Skrini yako ya Mwanzo. Iguse ili uweke nafasi ya usafiri. Ni muda wa kwenda!
Pokea zawadi za siku ya kuzaliwa
Bainisha tarehe yako ya kuzaliwa kwenye wasifu wako binafsi kwenye tovuti yetu au kwenye programu ya Maxim, na urudishiwe asilimia 10. Salio la bonasi litawekwa kwenye akaunti yako. Litumie ili upate punguzo la hadi asilimia 10 kwenye oda ndani ya siku 90.